Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Wakuu nilikua nataka laptop kwa matumiz mbalmbal ila nmekuta zingine zina nvidia geforce.

Sasa kwa mfano Mimi ni mtu wa PC games kama far cry,NFS,col of duty na mengine hasa racing na games za vita.

Kuna umuhimu wa kununua laptop yenye nvidia au radeon graphic ili kucheza games zangu vizur ? na vip nikiwa na i7 au i5 bila dedicated card jeh nitacheza hizo games bila shida?
 
Last edited by a moderator:
Gpu muhimu tena sana kwenye games, elewa concept hii itakusaidia kufanya maamuzi.

-kila cpu inakuja na gpu yake ya ndani
-si dedicated graphics zote zina nguvu kushinda gpu zinazokuja na cpu

Hivyo unaweza nunua laptop yenye gpu ya nvidia ikawa kimeo kushinda hata laptop isio na dedicated gpu.

Kujua gpu nzuri ya nvidia unatakiwa uangalie namba ya yapili (yakatikati) hio ndio inamaanisha power

Mfano angalia hizi score za benchmark
Nvidia gtx 275 = 1215
Nvidia gt 610 = 356

Kikawaida ukitajiwa 610 na 275 utasema 610 ni kubwa ila kwenye gpu mambo yapo tofauti 275 ni kubwa sababu namba ya katikati ni kubwa namba ya mwanzo ni version tu.

Hivyo angalia hio gpu ya nvidia kama ni

X10
X20
X30
*x inaweza kuwa namba yoyote

Achana nayo ila kama namba ya kati ni 4 kupanda juu ni nzuri, au kwa uhakika zaidi unaweza ileta humu tukaiangalia.

Kwenye gpu zinazokuja na processor tafuta atleast hd 4600 au intel iris pro ndio utaenjoy game kwa 720p
 
shukrani mkuu....nmekuelewa Sanaa...nitakayo ipata nitaileta hapa tuijadili.
 
HP Pavilion 15... core i5 1.7ghz boosted to 2.4ghz... ram 8gb and hdd 750gb... 2gb dedicated nVidia GeForce 830m 15.6" LED Display...

mkuu kuna Hii nmeiona kwa mtu VIP inafaa?
 
1. Hio gpu ni ndogo. 830m ni equivalent na hd4600 ambayo ni igpu tu.
-Nvidia 830m passmark score 749
-intel hd 4600 passmark score 719

Hivyo hapo hauongezi kitu kikubwa sana.

2. Hio cpu ni ndogo nna uhakika ni i5 za u version ambazo si nzuri kwa gaming na umeme upo limited kwa 15 watts tu.

Tafuta cpu zinazoishiwa na m nyingi clock speed yake inaanzia 2.5ghz

Muone kende jana alilist laptop nzuri akuambie yeye anazipata wapi
 
okey mkuu ...na vp hizi zenye AMD?
 
Last edited by a moderator:
hii vp?
 
Attachments

  • 1438332947357.jpg
    1438332947357.jpg
    47.9 KB · Views: 456
okey mkuu ...na vp hizi zenye AMD?

Unamaanisha amd processor au gpu?

Hakuna processor ya amd yenye power zaidi ya i5 ya 4th generarion japo hizo processor za amd zina gpu nzuri.

Incase unaenda amd sio mbaya ila hakikisha cpu yake ni A10 series au A8.

Ila sirecomend amd

Kwa gpu sio mbaya unaweza kuwa na combination ya intel cpu na gpu za amd
 
sawa sawa mkuu ntaleta feedback itakayo patikana tuijadili
 
Unamaanisha amd processor au gpu?

Hakuna processor ya amd yenye power zaidi ya i5 ya 4th generarion japo hizo processor za amd zina gpu nzuri.

Incase unaenda amd sio mbaya ila hakikisha cpu yake ni A10 series au A8.

Ila sirecomend amd

Kwa gpu sio mbaya unaweza kuwa na combination ya intel cpu na gpu za amd

lenovo ideapad flex 20308

mkuu nmekutana na hii lenovo naomba uniangalizie specs kama itanifaaa
 
hizo laptop za fashion zikimbie kama unataka kucheza games sababu zinakuwa na processor dhaifu
 
1. Hio gpu ni ndogo. 830m ni equivalent na hd4600 ambayo ni igpu tu.
-Nvidia 830m passmark score 749
-intel hd 4600 passmark score 719

Hivyo hapo hauongezi kitu kikubwa sana.

2. Hio cpu ni ndogo nna uhakika ni i5 za u version ambazo si nzuri kwa gaming na umeme upo limited kwa 15 watts tu.

Tafuta cpu zinazoishiwa na m nyingi clock speed yake inaanzia 2.5ghz

Muone kende jana alilist laptop nzuri akuambie yeye anazipata wapi

mkuu aingie kwenye hii site www.jmartstore.net ndipo nilipozitoa
 
Last edited by a moderator:
Kazi kubwa itakayofanya ni games tu mkuu

nitajie game lako kubwa zaidi, kama ni mpira haina neno itacheza pes na fifa ila kama utataka kucheza games kali mpya kama gta v, watch dog nk haitafaa
 
Fifa 15 mostly... laptop ipi iko vzuri kucheza gta v na mengine ?
 
nimepitia hio website hizi hapa laptop kali

1. asus yenye nvidia gtx760m na i7 4700hq. hii laptop chochote utachotupia itafanya ila bei ni dola 650 (around 1,300,000)
ASUS N56JR-MH71 Notebook Intel Core i7 4700HQ 2 40GHz 16GB Memory 750GB HDD NVIDIA GeForce GTX 760M 2GB 15 6 Windows 8 64-bit

2.hp pavilion yenye nvidia gtx 740m na i5 4200u hii ni dola 380 (around 760,000)
HP Pavilion TouchSmart 14-N033tx Ultrabook 4GB RAM 500GB HDD 24GB SSD 2GB Nvidia 740M Graphics

3.hp pavilion kama namba 2 ila yenyewe ina i7 4500u kwa dola 400 (around 800,000)
hp pavilion 14 core i7 750gb 4gb ram 2gb nvidia dvd Window 8

4. acer v3 yenye i7 (isio na jina) ila ni quad. probably ni 3rd generation kende hii ni dola 500 ndani ya budget yako na kama ni i7 quad itakufaa
Acer V3-571 Quad Core i7 4GB 500GB Windows 8 Laptop in Black

on budget

kuna hii toshiba kwa dola 150 ina i5 3230m ambayo ni processor nzuri
Toshiba Satellite Pro C50-A-137 Intel Core i5-3230M 4GB 500GB 15 6 Windows 7 Pro Windows 8 Pro

ina uhakika gani hii website?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom