Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

alafu me mwenyewe ivo ivo, yani tungepatana ata shughuli zisingeenda, baby wangu anasmamisha dak 2 afu ananywea

pole mkuu, sometimes uvumilivu tu...maana dah
 
Hiyo Hali inanitesa sana kiasi kwamba nimekuwa napenda papuchi kulko kawaida nilifikil ni mm pekee angu
pole mkuu, sometimes huwa nafikiria niende hosptal kama kuna alternative waipunguze
 
Unahamu b'se huwa unayapa nafasi kubwa katika fikra zako, so hata ufanye mazoezi haita saidia bali badili fikra. Samahani lakin
 
Unahamu b'se huwa unayapa nafasi kubwa katika fikra zako, so hata ufanye mazoezi haita saidia bali badili fikra. Samahani lakin
To be honest siyapi nafas hata kidg,na mda mwingi nakuwa bize sana....
 
Sasa anza kula chips mayai manne kila jioni, hili tatizo litaisha lenyewe.
 
Kila kitu kina matokeo yake,matokeo ya yote unayoyafanya ni kuwa na stimu za kuwasha moto mda wote.
Dawa ni kuwawashia moto tu hakuna namna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…