Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Usa-River

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
979
Reaction score
1,980
Habari za jioni wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Mimi ni kijana mwenye miaka 26 na sijaoa. Tatizo langu kubwa ni hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara, yani muda mwingi mashine inakuwa imesimama iwe asubuhi mchana au usiku.

Nimejitahidi sana kufanya mazoezi lakini sijaona mafanikio. Mimi huwa napenda sana kula vyakula vya asili tu na situmii kilevi chochote wala soda situmii, kinywaji changu kikuu ni maziwa na maji labda na juice ya kutengenezea nyumbani.

Kila asubuhi lazima nifanye mazoezi then napata glass tatu za maji yaliyochanganywa na tangawizi pamoja na kijiko kimoja cha asali, sasa kuna mtu kaniambia huenda ndio chanzo cha kusimamisha ovyo, Je kuna ukweli hapo?

Nilishajaribu pia kukaa na mwanamke ndani kwa mwezi mmoja lakini hali iliendelea hivyo hivyo hadi akawa analalamika kuwa namuumiza tu na akaanza kuniambia kuwa huenda kuna dawa nimetumia ili nimkomeshe wakati siyo kweli.

Ahsanteni.
 
dah hii hali sometimes inakera sana mkuu, yaani kwa kifupi siridhiki na papuchi maana hamu haiishi.
Ngoja uje ushindwe kwenda round ya pili ujutie..kazana mkuu ila piga kwa kiasi na control hamu yako
 
Hahahaaa unatafta she au co?? Funguka tuuu utampata WA kifanana nawe hahahaaa ndruuuukkkiiiiii
 
Hiyo Hali inanitesa sana kiasi kwamba nimekuwa napenda papuchi kulko kawaida nilifikil ni mm pekee angu
 
Hahahaaa unatafta she au co?? Funguka tuuu utampata WA kifanana nawe hahahaaa ndruuuukkkiiiiii
hahahaha wala sitafuti she ndugu, npo siriaz hii hali inanitesa mkuu
 
Back
Top Bottom