Msaada Halotel

Kibwengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,217
2,000
Wakuu mwenye kujua kutatua tatizo, nikiwa na simu ndani ya nyumba internet na kupiga simu nakosa kabisa ila nikitoka nje iko vizuri.. natumia chip ya Halotel.

Kwa Sasa mkoani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom