Nauliza nifahamu zaidi.JJ NA Joverest ni majina ya hotel au inakuwaje wakuu?
Itakuwa hakai Moro ndio maana bado hajafika.Joseverest
Kahumba guest house.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee huko kwa wauza puchi.... Dah sio poaKahumba guest house.
atakuwa katoka kidogo. jamaa etu huwa anafika tu hata kama mada iko nje ya uwezo wake, ilimradi atoe comment tuItakuwa hakai Moro ndio maana bado hajafika.
Mkuu huo utani kabisa kabisa, aende kahumba??dah hatokaa harudi Moro tenaKahumba guest house.
Habari wanajamvi? Kuna dada yangu kaomba nimsaidie kupata taarifa.Ana kikao morogoro wiki moja ukumbi wa SOCIAL oppposite na Hospitali ya mkoa.Atakuwa na mwanae wa miezi mitatu na mfanyakazi(Baby sitter).Ni Guest/Hotel gani nzuri ambayo ni ya heshima(Nikimaanisha ambayo angalau itatunza heshima ya kukaa na mtoto isiyo na vurugu),walking distance to venue,baby sitter aweze kupata chakula kirahisi kwa bei ya kitanzania jirani au hapo mchana(KUMBUKA MCHANA MAMA MTU YUPO KIAKONI) na wote jioni bila mwendo mrefu.Msaada tafadhali wadau wa mji kasoro bahari.Asanteni.
NB:BAJETI NI 15,000 -20,000.
Mkuu unaongelea Kimbinyiko lodge au,kombuna lodge! ipo vzr sana ipo mitaa ya misufin apo atapata chakula na malazi fresh, na nauli ya boda boda toka apo kombuna mpaka social ni 1000 tu,tena pk pk zipo apo apo! zingatia ilo jina , huo niliokupa ni bonge la msaada