Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

Inawezekana unapata maambukizi ya tena na tena. Lazima utibiwe na huyo mwenza wako (au wenza wako kama unao wengi).

Bila ya hivyo ugonjwa hautapona.
Amejieleza hapo juu kuwa hajawahi kukutana na Mwanamke tangu alipoanza kuugua.
 
Kabisa hasa wanafunzi, hao ni carriers wakubwa sana wa magonjwa ya Ngono.
Unaweza kukiona kidogo, na kizuri kwa nje, kumbe kwa ndani kameoza.
 
Hapoo kwenye kupima...saa nne usiku umeshapiga kadhaa kwa msaada wa Dada Muhudumu...saa unaondoka akakusindikiza kupima wapi tena jameni?.
 
hahahaha noma sana mzee

chaputa oyee, ile siku ya maadhimisho ya kesho '1 Dec' mie nitakua nawa-zoom kwenye TV, huku niko kwenye PC naruka na ETS2
😂😂😂 Unyama w ETS 2 na map mod ya tz huna habar
 
Piga sindano weee power safe siku mbili tu umepona ila hongera maana ukiwa malaya na hujawai kupata gono basi wee ni sawa na mchezaji mwenye bidii na hujawai kupata namba kwenye mech
 
Mkuu pole sana kwa maradhi yako ya Ghonorhea yasiyo pona kw adawa Kizungu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Power self haitokuangusha moja tu..

yaani doctor anakuambia funua mdomo na pua na anakuuliza kama umekula ukashiba

Then shoot moja waya yaani hadi kizungu zungu
 
Asanteni wote mliochangia Uzi huu, kwa hakika nimepitia kipindi kigumu Sana, Kuna siku hata usingizi nilikuwa sipati, dushe ilikondaa kama ya mtoto, kwa Sasa nawza kusema nimepona, dawa zilizokuja kuniponya ni sindano inaitwa gono (spectinomycin) moja inauzwa elfu 25 x2, na dawa nyingine inaitwa sefixime 1x1x5.

Ujumbe wangu tutumie kondomu kwa uaminifu. Mimi niliupata kwa binti mdogo tu wa chini ya miaka 20, ambaye huwezi kumdhania, unaweza kudhani haka ni katoto kumbe kameoza.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Pole sana
 
tumia sindano za pawasef utanishukuru baadae. tatu tu znakata kila kitu. ila choma tano

halafu kama unatumia mlango wa nyuma acha.
ahsante
 
nje ya mada
mapunye yananisumbua nimejaribu dawa nyingi lakini bado
sijawahi ugua huu ugonjwa yaani unanifanya mnyonge sana naomba anayejua dawa anisaidie
Jaribu Griseofulvin au fika pharmacy kwa ushauri zaidi
 
Kaambie haka kabint kakajitibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…