msaada-gmail mpya

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
655
164
Wadau kuna jamaa yangu ana simu tecno k7 Ila alisahau patten,gmail aliyosajilia awali na hata namba ya simu maana laini yake ilipotea akasajili mpya na mbaya zaidi alimpa MTU akamfanyia head reset sasa kazi inakuja kwenye kuingiza hiyo email ili simu iweze kufunguka,aliniomba msaada na Mimi si mtaalamu wa haya mambo,tunaomba msaada kwenu wadau.
 
Aache wizi wa simu! Atasahauje mambo yote hayo. Usisaidie wizi
 
Huyo jamaa siyo mwizi na maelezo aliyonipa ni hayo labda useme kuwa ameiokota mahali hapo nitakubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom