Asante sana mkuu kwa ufafanuzi muruaACCA unalipa kwa paundi kwa mchanganuo ufuatao na kama una digrii ya uhasibu kwa Tanzania:
1/ Initial reg fee 79;
2/Annual subscript 95;
3/Exemption fee-Knowledge level 72, skills level 97 kwa somo moja,
4/Knowledge level ina masomo matatu F1-F3,skills level ina masomo 6, F4-F9
5/skills level masomo matano(5)- F5-F9, Cost 97 kila moja
6/Professional level P1-P3, na OPTION masomo mawili kati ya P4-P7,cost 121 kwa somo
Kwa ufupi andaa paundi 1575 bila cost za kutuma benki na nyinginezo za maandalizi binafsi. zibadilishe kwa tsh.3,197*1,575=5,035,275/=
Kuhusu CPA na ACCA;
a/ Ukiwa na CPA ukitaka kuwa na ACCA unafanya masomo yote ya ACCA kwasababu wao hawaitambui CPA;
b/Ukiwa na ACCA ukitaka kuwa na CPA unafanya somo la Tax 1 na Tax 11 Pekee kwasababu NBAA wanaitambua ACCA;
c/ Ukiwa na ACCA mbali ya kuwa inatambulika ulimwenguni, pia ukijiunga na London university online au kwenda uingereza unasoma masomo mawili tu na project then unapata masters of science in professioanal accounting.
Kwa sababu nilizotaja hapo juu ACCA ni bora kuliko CPA kama utaweza kulipia over.
Karibu sana mkuu, ukiwa na issue yeyote kuhusu ACCA au CPA uliza, pia ACCA maswali hayajirudii, past paper itakuongezea confidence tu, pia maswali yanafahamika yaani swali LA kwanza lazima litoke topic Fulani, lapili na kuendelea,pia kuna tarehe maalum ya matokeo ambayo haibadiliki, pass mark ni 50%, unatakiwa umaliza kila level ndani ya miaka mitano. Jichange ufanye, inaheshima sana, ukitaka na CPA utafanya Tax peke, na utafanya jumla ya masomo kumi kama CPA,F5-F9,P1-P3 na option ya masomo mawili kati ya P4-P7.Asante sana mkuu kwa ufafanuzi murua
Numesave..nikianza nakucheki.. Mkuu..shukrani..Karibu sana mkuu, ukiwa na issue yeyote kuhusu ACCA au CPA uliza, pia ACCA maswali hayajirudii, past paper itakuongezea confidence tu, pia maswali yanafahamika yaani swali LA kwanza lazima litoke topic Fulani, lapili na kuendelea,pia kuna tarehe maalum ya matokeo ambayo haibadiliki, pass mark ni 50%, unatakiwa umaliza kila level ndani ya miaka mitano. Jichange ufanye, inaheshima sana, ukitaka na CPA utafanya Tax peke, na utafanya jumla ya masomo kumi kama CPA,F5-F9,P1-P3 na option ya masomo mawili kati ya P4-P7.
Well said mkuu. Tatizo langu hapo ni hizo level tu. Naomba kujua ikiwa mtu ana bachelor degree anaanzia level ipi kwenye mitihani ya ACCA?Karibu sana mkuu, ukiwa na issue yeyote kuhusu ACCA au CPA uliza, pia ACCA maswali hayajirudii, past paper itakuongezea confidence tu, pia maswali yanafahamika yaani swali LA kwanza lazima litoke topic Fulani, lapili na kuendelea,pia kuna tarehe maalum ya matokeo ambayo haibadiliki, pass mark ni 50%, unatakiwa umaliza kila level ndani ya miaka mitano. Jichange ufanye, inaheshima sana, ukitaka na CPA utafanya Tax peke, na utafanya jumla ya masomo kumi kama CPA,F5-F9,P1-P3 na option ya masomo mawili kati ya P4-P7.
Ukiwa na ACCA ukija kufanya CPA unafanya masomo matatu Tax 1,Tax 2 na Business law. Na sio masomo mawili kama ulivyosema hapo juuKaribu sana mkuu, ukiwa na issue yeyote kuhusu ACCA au CPA uliza, pia ACCA maswali hayajirudii, past paper itakuongezea confidence tu, pia maswali yanafahamika yaani swali LA kwanza lazima litoke topic Fulani, lapili na kuendelea,pia kuna tarehe maalum ya matokeo ambayo haibadiliki, pass mark ni 50%, unatakiwa umaliza kila level ndani ya miaka mitano. Jichange ufanye, inaheshima sana, ukitaka na CPA utafanya Tax peke, na utafanya jumla ya masomo kumi kama CPA,F5-F9,P1-P3 na option ya masomo mawili kati ya P4-P7.
Ahsante mkuu kwa nyongeza Muhimu.Ukiwa na ACCA ukija kufanya CPA unafanya masomo matatu Tax 1,Tax 2 na Business law. Na sio masomo mawili kama ulivyosema hapo juu
Unapata Bachelor of science in AccountingACCA unalipa kwa paundi kwa mchanganuo ufuatao na kama una digrii ya uhasibu kwa Tanzania:
1/ Initial reg fee 79;
2/Annual subscript 95;
3/Exemption fee-Knowledge level 72, skills level 97 kwa somo moja,
4/Knowledge level ina masomo matatu F1-F3,skills level ina masomo 6, F4-F9
5/skills level masomo matano(5)- F5-F9, Cost 97 kila moja
6/Professional level P1-P3, na OPTION masomo mawili kati ya P4-P7,cost 121 kwa somo
Kwa ufupi andaa paundi 1575 bila cost za kutuma benki na nyinginezo za maandalizi binafsi. zibadilishe kwa tsh.3,197*1,575=5,035,275/=
Kuhusu CPA na ACCA;
a/ Ukiwa na CPA ukitaka kuwa na ACCA unafanya masomo yote ya ACCA kwasababu wao hawaitambui CPA;
b/Ukiwa na ACCA ukitaka kuwa na CPA unafanya somo la Tax 1 na Tax 11 Pekee kwasababu NBAA wanaitambua ACCA;
c/ Ukiwa na ACCA mbali ya kuwa inatambulika ulimwenguni, pia ukijiunga na London university online au kwenda uingereza unasoma masomo mawili tu na project then unapata masters of science in professioanal accounting.
Kwa sababu nilizotaja hapo juu ACCA ni bora kuliko CPA kama utaweza kulipia over.
Pamoja kiongozi.Ahsante mkuu kwa nyongeza Muhimu.
ACCA ipi maswali hajajirudii? Labda ya Korea Kaskazini, ila sio hii ya Uingereza.Karibu sana mkuu, ukiwa na issue yeyote kuhusu ACCA au CPA uliza, pia ACCA maswali hayajirudii, past paper itakuongezea confidence tu, pia maswali yanafahamika yaani swali LA kwanza lazima litoke topic Fulani, lapili na kuendelea,pia kuna tarehe maalum ya matokeo ambayo haibadiliki, pass mark ni 50%, unatakiwa umaliza kila level ndani ya miaka mitano. Jichange ufanye, inaheshima sana, ukitaka na CPA utafanya Tax peke, na utafanya jumla ya masomo kumi kama CPA,F5-F9,P1-P3 na option ya masomo mawili kati ya P4-P7.
Tafadhali kwa taarifa zote kuhusu CPA, ACCA n.k Tembelea www.eminentconsultants.co.tz utajua gharama, qualifications pamoja na mahali unapoweza kupata kozi hizo.Ndugu wanajamvi, Wasaam.
nimekuja hapa kuomba mchanganuo wa gharama za kusoma CPA na ACCA kwa hapa tanzania. ninafahamu kuwa inategemea na tution centers. ila kwa mimi ninachoomba ni upande wa registrations na kulipia mitihani. pia ninafahau ACCA ina gharama, ila nataka kujua kwa kiasi gani ili niweze kujipanga kwa mwezi july kuanza.
Natanguliza shukrani zangu za dhati, ingependeza mtu akanijibu hapa hapa badala ya PM kwa wengine kupata taarife, who knows, maybe someone else out there is in need of this too
Nina swali moja mkuu! Inawezekana mtu akafanya nusu ya kozi? Mfano nimeona kuna kozi nyingi nikafanya kozi chache tu halafu nikaishia hapo.Karibu sana mkuu, ukiwa na issue yeyote kuhusu ACCA au CPA uliza, pia ACCA maswali hayajirudii, past paper itakuongezea confidence tu, pia maswali yanafahamika yaani swali LA kwanza lazima litoke topic Fulani, lapili na kuendelea,pia kuna tarehe maalum ya matokeo ambayo haibadiliki, pass mark ni 50%, unatakiwa umaliza kila level ndani ya miaka mitano. Jichange ufanye, inaheshima sana, ukitaka na CPA utafanya Tax peke, na utafanya jumla ya masomo kumi kama CPA,F5-F9,P1-P3 na option ya masomo mawili kati ya P4-P7.