Msaada gharama ya kutoa mashine ya kukamua alizeti bandari ya Dsm

JOHN KAPESULA

Member
Oct 12, 2010
10
3
Kuna aina mbili za mashine ya kukamaua alizeti nimezipenda natamani niagize moja wapo toka china ndogo ni USD 1,410 na kubwa ni USD 3,280 mpaka inafika bandari yetu ya dar, hofu yangu ni kumudu gharama za kukomboa bandarini, kwa anaye fahamu anisaidie ufafanuzi wapo wanasema ushuru umeondolewa je ni kweli yaani ikifika naichukua free of charge? na je kuna makampuni ya kitapeli? na jinsi gani ya kuwakwepa?
 
mpigie huyu jamaa ni rafiki ysngu mwambie namba umepewa na ngaga 0716645959 anafsnya clearing and fowarding anaitwa kalinga atakusaidia
 
Kuna aina mbili za mashine ya kukamaua alizeti nimezipenda natamani niagize moja wapo toka china ndogo ni USD 1,410 na kubwa ni USD 3,280 mpaka inafika bandari yetu ya dar, hofu yangu ni kumudu gharama za kukomboa bandarini, kwa anaye fahamu anisaidie ufafanuzi wapo wanasema ushuru umeondolewa je ni kweli yaani ikifika naichukua free of charge? na je kuna makampuni ya kitapeli? na jinsi gani ya kuwakwepa?
Naomba ni pm namba yako kk, kuna mambo nahitaji tujadili kidogo kuhusiana na izi mashine za alizeti kk
 
Kuna aina mbili za mashine ya kukamaua alizeti nimezipenda natamani niagize moja wapo toka china ndogo ni USD 1,410 na kubwa ni USD 3,280 mpaka inafika bandari yetu ya dar, hofu yangu ni kumudu gharama za kukomboa bandarini, kwa anaye fahamu anisaidie ufafanuzi wapo wanasema ushuru umeondolewa je ni kweli yaani ikifika naichukua free of charge? na je kuna makampuni ya kitapeli? na jinsi gani ya kuwakwepa?
Ipo kodi moja tu. Ni vizuri ukafika ofisi zozote za TRA zilizo karibu nawe na maelezo ya mashine watakuonyesha database yao na kukuambia utalipa kiasi gani. Zimesamehewa kodi zote kasoro moja tu. Na pia kuna gharama za port charges kidogo na za mtu wa clearing. ila hizo machine inabidi ufanye negotiation na supplier kwanza ili kujua bei halisi maana bei wanazowekaga mtandaoni zinakuwa sio exact price..To be on the same side anza na hiyo mashine ndogo na weka akiba kwa ajili ya kuikomboa bandarini...
 
Back
Top Bottom