Hapana kaka
Mkuu na Mimi nilikua naangalia comment za wadau wanachukuliaje kuunganisha goli 5 nashangaa watu wanatiririka tu bila kuhoji... ila goli 5 humo humo ni hadithiBao tano bila kupumzika.. really?
Ha ha ha eti asante baba ,hiyo ni Psychological impotence ni kawaida sana especially ukiwa depressed au unakosa usingizi na fears,unrest etcHahahahaha eti mke ndo nimemuoaa.
Usijali,, je kabla ya hiyo hali mlikua mnajamiiana kila mara/siku??/
Kama ndio nilazima upate huo uhanisi unakuaga niwamuda mfupi .
Fanya mazoezi
Kunywa maji
Kula well balanced diet
Matunda .
Jipe muda ,,Siku ukimkaza atakuambia "Asante Baba".
Bao tano hizo unaunganishaje au ni zile bao za dakika moja moja? So dakika tano una bao tanoGhafla nimepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utotoni sijawahi kupatwa na tatizo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa 8 mwaka jana mke wangu nilikua nampatia bakora za kutosha bila shida kabisa kifupi nilikua na nguvu nyngi tu.
Tatizo limeanza kama wiki 1 imepita ghafla uume haukusimama siku nzima,
kesho yake ikasimama lakini haikua na nguvu sana, kiasi kwamba nikijaribu kuweka inalala tena.
Nisaidieni mke wangu naona anashinda bila raha nyumbani sijui hata anachowaza mke wangu, hata mimi pia nina mawazo mno ukizingatia mke ndo nimemuoa jamani.
Mwenye kujua nianzie wapi anisaidie.