Msaada: Ghafla uume wangu hausimami

Kaka,
Punguza mawazo bado una nguvu nyingi mno, kuanzia sasa uwe unafanya mazoezi madogo madogo, kula ndizi za kuiva kuanzia 3 na kuendelea , na kuanzia muda huu navyokushauri acha kunywa maji ya baridi au kinywaji chochote cha baridi, kunywa maji mengi, pia mara kwa mara matikiti maji. Tafadhali usikose kula ndizi za kuiva kila siku na maji mengi na kutafuna tangawizi kila siku mb..oo yako itakuwa imara na kufanya vizuri kuliko hata mwanzo.
Kama una swali unaweza uliza!
Asante mbona tatzo limenpata ghafra sana
 
Mimi pia ni mwanaume lakini hilo la goli 5 za kuunganisha bila kupumzika huo ni uongo,inaonesha wewe uume wako haujawahi kusimama kabisa tangu ukiwa mtoto
Hahaha dah nilitafakari nikakosa cha kusema kuhusu bao tano nilichokuwa nawaza kukisema nilisita labda Mimi ndo nina matatizo kumbe na nyinyi mmeona
 
Bao tano labda km nipo na lulu au wema Kibongobongo nje niwe na Muigizaji Alex Parrish na jaz au natacha
 
fanya mazoez na ule ndizi na maparachichi sana maana yanaongeza libido (sex drive)
pia uache tabia hatarishi mfano ulevi,kuvuta sigara au bangi,kupiga punyeto na upunguze kua na msongo wa mawazo.
na kama pia anatumia dawa za kuongeza nguvu pia aache
 
5dc79b1bf70a4df07aeeab0952d28883.jpg

umefkia hapa?
 
Ghafla nimepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utotoni sijawahi kupatwa na tatizo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa 8 mwaka jana mke wangu nilikua nampatia bakora za kutosha bila shida kabisa kifupi nilikua na nguvu nyngi tu.

Tatizo limeanza kama wiki 1 imepita ghafla uume haukusimama siku nzima,
kesho yake ikasimama lakini haikua na nguvu sana, kiasi kwamba nikijaribu kuweka inalala tena.

Nisaidieni mke wangu naona anashinda bila raha nyumbani sijui hata anachowaza mke wangu, hata mimi pia nina mawazo mno ukizingatia mke ndo nimemuoa jamani.

Mwenye kujua nianzie wapi anisaidie.
Kula matunda Mkuu na ugali wa dona na mboga za majani, , na tafuta magimbi wife ayaunge na Nazi mlo wa week nzima asubui
mimi huo ndio huwa msosi wangu,, na samaki chukuchuku, ,,, utakuwa una hamu ya kugonga kila siku, me hadi imekuwa kero,


usisahau mazoezi kwa sana mkuu
 
Pole sana kwa matatizo, Kuna vitu unatuficha kwa sisi ambao tunaelewa sana kupitia maneno, umetuambia umeoa mwez wa 8 mwaka jana na ulikuwa unapiga bao 5 mfululizo bila kumpumzika. Je mke wako mpaka Sasa hivi mwez wa 2 umefanikiwa kumpa mimba. Jieleze vizur utasaidiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom