Msaada: Ghafla uume wangu hausimami

punguza mawazo mkuu, kama huwa unacheki sana movies za ngono acha, kama ni mnywaji wa pombe jipe likizo kunywa sana maji, jipe siku 5 za kuwa unalala mapema labla ya sa4 uwe kwa bed na kuamka sa12 asubuhi au sa1 kabisa.
Ukiamka tu kunywa maji, zoezi kidooogo then endelea na kazi zako, mzeee si siku 5 tu hizo utaleta mrejesho
 
Hahaha dah nilitafakari nikakosa cha kusema kuhusu bao tano nilichokuwa nawaza kukisema nilisita labda Mimi ndo nina matatizo kumbe na nyinyi mmeona
huwa inatokea ila mara chache... mimi nimewahi piga 5 za kuunganisha ila mara moja tu...
ni. mrembo ambaye nilimpania siku nyingi sasa siku anaondoka baada ya kukaa wiki ndo zikafika hizo 5...

ila kusema ni kila siku ni uongoz wa wazi!!!
 
huwa inatokea ila mara chache... mimi nimewahi piga 5 za kuunganisha ila mara moja tu...
ni. mrembo ambaye nilimpania siku nyingi sasa siku anaondoka baada ya kukaa wiki ndo zikafika hizo 5...

ila kusema ni kila siku ni uongoz wa wazi!!!
Kupiga goal tano sio tatizo watu tunapiga hata 8 ila ishu ni kuunga bao tano non stop nachojua bao unazoweza kuunga ni 1,2 na 3 kwa shida sana
 
Mi nahisi itakua iligusana na kitovu...... Maana nasikia ndo inakuaga hvyo kwa watoto..... Maybe hadi kwa wakubwa sikuhiz mkuu...... Dunia inabadirika
 
I bet the causes is stress.nakushaur kunywa kahawa itasaidia kupunguza stress na kuongeza activities za uume
 
Mkuu kila kitu kina hatua zake badi huo uume haujakua uje utaanza kukaa, kutambaa badae kusimama na utatembea pia usiwe na haraka subiri
 
Je huwa unatumia dawa hizi za kukuza kuongeza nguvu sijui maraaaa paaap

Hizo ushawah tumia
 
Ghafla nimepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utotoni sijawahi kupatwa na tatizo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa 8 mwaka jana mke wangu nilikua nampatia bakora za kutosha bila shida kabisa kifupi nilikua na nguvu nyngi tu.

Tatizo limeanza kama wiki 1 imepita ghafla uume haukusimama siku nzima,
kesho yake ikasimama lakini haikua na nguvu sana, kiasi kwamba nikijaribu kuweka inalala tena.

Nisaidieni mke wangu naona anashinda bila raha nyumbani sijui hata anachowaza mke wangu, hata mimi pia nina mawazo mno ukizingatia mke ndo nimemuoa jamani.

Mwenye kujua nianzie wapi anisaidie.
WEWE NI MWONGO....... UMEWAPATA WAPUUZI WA KUKUJIBU
 
Mimi pia ni mwanaume lakini hilo la goli 5 za kuunganisha bila kupumzika huo ni uongo,inaonesha wewe uume wako haujawahi kusimama kabisa tangu ukiwa mtoto
Hilo la bao tano za kuunganisha..sijakuelewa ni bila kushuka au?...nijuavyo mm unaweza ukapiga hizo bao kwa interval mfano unapiga bao la kwanza unapumzika nusu saa au zaidi then unaendelea mpka utakapo timiza hizo bao tano!Kuunganisha huwa ni kati ya bao la kwanza na la pili tu tena uwe rijali haswaa!
 
Though stori ni fake ila hii ya mnara kutosoma ni kawaida hasa mtu ukiendekeza punyeto, stress, poor meal, kukosa mazoezi na kukamia!!

Do the opposite above utakuwa ok!

NB: unapodanganya, tafuta uongo unaoukaribia ukweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom