Msaada geomatic na geoinformatic

Msaada geomatic na geoinformatic

Lakini mkuu hii inalipa vizuri kama kozi nyingine za engineering au ndo pesa za msimu na kubahatisha bahatisha...????

Sent from my itel it1403+ using JamiiForums mobile app
Mpaka hapa elimu ya mtaani imeshakushinda.... Iyooo koziii inamsotooo mtaani sijawahi onaa,,,, kama wew huna connection unamaliza chuo unaenda kijijin kaz unayooo.....bro kaamua kwenda jesh.... Kisa kufuata mkumbo wa kusoma iyo Koz doroo tupuu mtaani
 
Hayup uzur
 
mkuu Pain killer embu muulize tena huyo brother akupe mrejesho.
Isije ikawa ndo wale waliofananisha bachelor ya social work na bachelor ya social protection.
 
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni
Zina fanana utofauti ni mdogo sn
 
Back
Top Bottom