Msaada gb whatsapp

Msaada gb whatsapp

gbwhatsapp inaniletea "update gbwhatssap" mara kwa mara, nawezaje kuiblock?NB: Natumia latest version ya gbwhatsapp.
 
1481730769380.png
/IMG]
Gb WhatsApp yangu inanipa hiyo update lakini hiyo lugha ni shidaah msaada wenu unahitajika wadau
 
View attachment 446194/IMG]
Gb WhatsApp yangu inanipa hiyo update lakini hiyo lugha ni shidaah msaada wenu unahitajika wadau
gusa hapo update now ikishafunguka shuka chini tafute neno download liloandikwa kwa rangi nyeusi gusa hapo itafunguka tena utaona neno download limepigiwa mstari kwa chin
 
  • Thanks
Reactions: AMB

Similar Discussions

Back
Top Bottom