GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 454
- Thread starter
-
- #21
Mkuu
Mleta mada akija kujibu haya uliyouliza tutapata pia kuanzia pia kwasasa huwezi sema gari hilo ni mbovu maana unapopanda mlima kuna mambo
Kadhaa ya kuangalia hasa aina ya njia pia km ni
Auto hujibadili yenyewe sasa huenda labda kwa
kutokujua magari yanapokupita unahisi ni tatizo
Linatumia Petrol
Weka wazi....kama mlima ni mkali na gari ni auto unataka ibadili gia isiyoendana nayo? Hata Manual ukiweka 3 itakugomea...weka wazi size ya mlima na aina ya gari kama wanavyouliza wadau
Habari za kwenu,katika mihangaiko ya hapa na pale,Mungu kanijalia kupata gari.lakini kuna tatizo limeanza jitokeza ambapo ukiwa katika mlima kuupanda inatembelea spidi 40 na hapo umekanyaga mafuta hadi mwisho.naombeni mwenye ufahamu na tatizo hilo anisaidie.
Gari ni auto,na ni suzuki escudo.mlima wa kawaida tu kama wa airport dar kuelekea magereza(ukonga).nakanyaga hadi spidi ya mwisho mafuta lakini spidi ni 40 tena kwa shida sana.ni petrol
Ukitoka Isoko pale hosiptali unakwenda Ktengele kuna mlima unaitwa kashima ni mlima una akili sana gia sahihi pale ni 0.6
inawezekana fuel pump iko weak, check fuel filter na injector nozzle pia zikiwa na shida nazo huweza sababisha hilo tatizo.
Ukitoka Isoko pale hosiptali unakwenda Ktengele kuna mlima unaitwa kashima ni mlima una akili sana gia sahihi pale ni 0.6
nimetulia tulii hapa Barabara ya 13.hahahahahaaaa....... We Mwanyasi hujatulia lol!
ule mlima pale katengele ukishuka nao unaiona kabisa gari ilivyo inama aisee....... Mwambieni yule mkandarasi wenu aupunguze ye kazi yake ni kupaki magreda yake na vibrator roller sijui yamekufa? Wakati bado ujenzi unaendelea
Tumeshajua una gari.