Habari wapendwa.
Samahani naombeni msaada tafadhali, naitaji kununua gari ndogo ambayo inatumia mafuta ya diesel, katika pita pita zangu kuna mtu kanambia kuwa kuna hizi beetle new model nikaambiwa pia na vw golf bt sijajua ni model gani, naomba msaada sababu nahitaji kununua na bajeti yangu ndogo, hivyo nikipata kwa mtu sio mbaya, pili sehemu niliyopo kupata dieseli ni rahisi sana kuliko petrol.