A
Kuna Prado ilitupita Igawa in a very rough driving speed isijekuwa ni hiyoHivyo naomba yeyote atakaye liona gari Hilo Prado TX nyeupe yenye Number plate T 461 BPH ataarifu kituo Cha polisi karibu yake. Pia anaweza kutoa taarifa hapa kwenye huu Uzi tutawasiliana.
Kuwa serious mzee,umeibiwa gari huweki hata picha ya gari yako watu wafahafu jinsi ilivyo
Kama ameliiba na si kwamba amepata ajali au kama limetekwa likiwa mikononi mwake na ameuawa it's very likely liko Zambia au Malawi, mtu hawezi kuiba gari Mbeya likabaki TZ labda awe amateur.Habari wanajamii . Naomba kutoa taarifa na kuomba msaada kwa yeyote atakaye liona gari husika anitaarifu. Gari Hilo limeibiwa jijini Mbeya na fundi makenika aitwaye Ibrahim Mwakyusa. Ameiba gari katika mazingira ya kulitengeneza.
Mwizi wa gari ni Ibrahim Mwakyusa mwenye namba 0752895006 Ibrahim Mwakyusa, ni fundi makenika hapo Mbeya Jijini. Baada ya kuiba gari Hilo alizima simu akatoweka.
Hivyo naomba yeyote atakaye liona gari Hilo Prado TX nyeupe yenye Number plate T 461 BPH ataarifu kituo Cha polisi karibu yake. Pia anaweza kutoa taarifa hapa kwenye huu Uzi tutawasiliana.
Asanteni.