Msaada games kudownload kwa pc

jamani naomba mnipe msaada wa namna ya kudownload games haswa GTA na FIFA, nimejaribu kwa torrent nimeshndwa, natumia window xp, 2.99 processor, 1gb ram
au kama kuna msamalia mwema anaweza kunipatia hzo game aniambie nimfate kokote jamani.
Help me wandugu.

nunua laptop mpya mkuu tena upate mashine yenye card yakutosha.
 
jamani naomba mnipe msaada wa namna ya kudownload games haswa GTA na FIFA, nimejaribu kwa torrent nimeshndwa, natumia window xp, 2.99 processor, 1gb ram
au kama kuna msamalia mwema anaweza kunipatia hzo game aniambie nimfate kokote jamani.
Help me wandugu.

nipo arusha njoo uchukue bure. Kumbuka kubeba extrnal iwe na free space gb 20 kwa fifa 14 na gta san andreas na ukitaka gta v full na fifa uwe na free spce ya gb 67.
 
jamani naomba mnipe msaada wa namna ya kudownload games haswa GTA na FIFA, nimejaribu kwa torrent nimeshndwa, natumia window xp, 2.99 processor, 1gb ram
au kama kuna msamalia mwema anaweza kunipatia hzo game aniambie nimfate kokote jamani.
Help me wandugu.

Mkuu kwanza ungejaribu kununua pc mpya, kwa details unazotoa inaonekana ni mgeni kiasi labda nikujuze kwanza;

1. Operating system unayotumia ni ya zamani mno..windows Xp hata support haipati tena kutoka Microsoft, so hata Ukipata games nyingi zitakusumbua. Labda za zamani.

2. 1gb ram ni memory ndogo sana kwa pc games.Ofcourse labda kama kwa mfano upate GTA Vice city ambayo Pia ni ya zamani sana (namba moja I think).Coz kwa sasa kuna GTA 5

3. Nakushauri kwanza kama unahitaji kucheza games za kisasa, tafuta walau Desktop pc Core i3 au Core i5.Graphic card ya AMD au vizuri zaidi ya NVIDIA GeForce atleast Gtx600 na kuendelea.Ram atleast 8gb na processor speed 2.9 kama uliyonayo. Nakushauri sana kununua desktop badala ya laptop ili uweze kwenda na wakati kwa kubadili tu vifaa badala ya kununua mpya kila wakati.

Kuhusu games ni rahisi, hizo torrents zipo mpaka kwenye simu za android, namna ya ku-download hata ukiingia YouTube utapata msaada kwa kuona kabisa namna wanavyofanya.
 
hello wakuu me pc yangu ni core i5 nimeshindwa kudownload gta na magame mengine naombeni msaada wadau plz
 
Jamani anaye jua jinsi ya kudownload game tya hitman sailent assasin2,bila na password key zake anisaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom