The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,588
Wakuu heshima zenu,
Samahani naombeni wataalamu wa mambo mnisaidie link au namna ya kuipata FTS 18, (first touch soccer) binafsi nimejaribu kuitafuta bila mafanikio ..
Au maelekezo ya namna ya kuipata (download) na site ya kuipatia.
Asanteni.