Msaada Galaxy s6102 namna ya ku-forward message please

Msaada Galaxy s6102 namna ya ku-forward message please

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
145
Wakuu salama ? naomba msaada nimenunua simu mpya Samsung galaxy S6102 Duos, sijui namna ya ku-forward message kwenda kwa mtu mwingine, pia application zingine zaidi, mm niko Kariakoo kama pana mtaalam hapa jilani naomba msaada zaidi kama internet, video capture/clips e.t.c
 
mkuu hiyo GAlaxy umeinunua usiku huu wa saa mbili au issue ya kuforward msg ndio imekupata mida hii????.....
samahani maswali hayo ni ktk kutafuta uhalisia wa tatizo lako ili msaada wa haraka uweze kutolewa kiongozi....
tiririkaaaa!
 
Mkuu fungua sms unayotaka ku-forward alafu ukisha funguka gusa kwa sekunde kadhaa hiyo sms bila kuachia itakuja menu ya kuforward au copy utaziona zipo nyingi
 
Mkuu Mwitaus amekujibu vema jaribu
ukishindwa rudi tena lkn mambo ndy
hayo. Karibu dijitali!
 
Mkuu fungua sms unayotaka ku-forward alafu ukisha funguka gusa kwa sekunde kadhaa hiyo sms bila kuachia itakuja menu ya kuforward au copy utaziona zipo nyingi

Shukran mkuu Mwitaus nimefaulu, je kujiunga internet inakuwaje ?
 
kujiunga net kwanza upate configaration sms kutoka mtandao unaotumia ila mara nyingi kwa hizi simu ukiweka line kwa mara ya kwanza huwa wanakutumia wenyewe baadaya kuzipata na kusave nenda kwenye setting alafu kwenye wireless and networks alafu tafuta mobile networks ukipata fungua hiyo na weka tiki sehemu iliyoandikwa USE PACKET DATA.hapo utakuwa unauwezo wa kutumia net
 
Back
Top Bottom