KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,962
- Thread starter
- #21
Hio soc Ina 3g hivyo simu yako pia inayo 3g jaribu ushauri WA shiny-c hapo juu kama utaweza kui enable
Mkuu shiny c na Chief-Mkwawa nimejaribu ku-download hizo mtk engineering apps nika-touch hapo kwenye Network selecting...
Ikaniletea kitu kama hiki hapa chini, ambapo niki-touch hapo hakifunguki wala hakitokei chochote wakuu...
Then nikatafuta app nyingine ambapo ikaniletea hiki kitu hapa chini...
Ambapo niki-touch hapo kwenye WCDMA Only inarudi tu na kuwa GSM Only kama inavyoonesha hapo chini kabisa kwenye picha ya mwisho kwenye ki-arrow, sasa kuna alternative nyingine ya kupata 3G wakuu...?.
Natanguliza shukran kwenu.
nenda play store download mtk engeneering then ingia option ya mediatek then nenda network selection weka iwe wcdma au 3g only, ushauri wa kupata hio og yenu mwambie huyo ndugu arudishe simu yenye imei(*#06#) sawa na zile zilizoandikwa kwenye box/risiti
Last edited by a moderator: