Msaada Galaxy note8 imeingia ukungu

Msaada Galaxy note8 imeingia ukungu

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
Nna Galaxy note8 ambayo naitumia tangu mwaka 2017 mwezi wa kumi na moja. Ni water resistant, hivyo uwa kuna siku napiga picha nikiwa ndani ya maji na haijawahi nisumbua.

Wiki iliyopita nimeingia nayo kwenye maji nikapiga picha vizuri, ila baada ya muda ika anza kustuck, nikaireboot, ikawaka ikaishia kwenye logo, baada ya muda ikawa inaenda kwenye recovery( nimeiroot na nimeweka custom twrp recovery)

Tangu hapo kioo hakigusiki I mean touch haifanyi kazi, sometimes kioo kinabadilika rangi, kuna ukungu kwenye kamera ya selfie na kamera za nyuma. Nshaiweka kwenye mchele inakauka, ila nikiichaji ukungu unarudi kwenye kamera. Na kioo kinabadilika rangi, sometimes kinarudi kawaida. Ila haiendi popote zaidi ya recovery na download mode.


Msaada kwa yeyote anaejua nini cha kufanya irudi poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is Samsung note 8? is an explosive device that derives its destructive force from nuclear reactions, either fission...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom