Msaada: Galaxy inazimika bila sababu

Mr. Django

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
1,830
2,424
Habari wadau?!
Ninatumia Samsung galaxy s duos s7562 ambayo inamwaka mmoja na miezi kadhaa sasa.. Imekuwa na tatizo la kustack/kufreeze/kuhang nimeivumilia kwa vile RAM yake siyo kubwa (around 700 MB). Lakini hivi majuzi imeanza tatizo serious la kuzima automatically na nikiiwasha charge inaonesha iko 1%-5% hata kama ndo nimeitoa kwenye charge!! Nikiirestart inapanda hadi 60%-70%.. Na mara nyingi ikishazima haiwaki kwa kupress power button hadi nitoe battery na kuirudisha ndo inakubali!!
Sina hakika kama ni hardware issue au ni software kabla sijawapelekea mafundi wa kitaa naomba msaada kwa mwenye experience na tatizo kama hili alifanyeje kulisolve.
Asante...
 
Tupa. Simu hiyo imejaa bacteria, ukiendelea kukaa nayo itakuambukiza magonjwa usiyotarajia.
 
Habari wadau?!
Ninatumia Samsung galaxy s duos s7562 ambayo inamwaka mmoja na miezi kadhaa sasa.. Imekuwa na tatizo la kustack/kufreeze/kuhang nimeivumilia kwa vile RAM yake siyo kubwa (around 700 MB). Lakini hivi majuzi imeanza tatizo serious la kuzima automatically na nikiiwasha charge inaonesha iko 1%-5% hata kama ndo nimeitoa kwenye charge!! Nikiirestart inapanda hadi 60%-70%.. Na mara nyingi ikishazima haiwaki kwa kupress power button hadi nitoe battery na kuirudisha ndo inakubali!!
Sina hakika kama ni hardware issue au ni software kabla sijawapelekea mafundi wa kitaa naomba msaada kwa mwenye experience na tatizo kama hili alifanyeje kulisolve.
Asante...
Usiwe unapigia,unapigiwa na wenye Simu za kichina watakuharibia Simu yako bure kaa mbali nao tatizo hilo litakwisha
 
Epuka bidhaa fake za kichina,inawezekana!

Sidhani kama ni fake maana nilinunua kwa authorised dealer wa Samsung na nikapewa warranty ya mwaka mmoja ambayo iliisha mwezi June!!
Bahati mbaya tu niko mbali na niliponunulia kwa sasa..
 
yakwangu ni s6802 na ina tatizo kama lako.nilipoirudisha mlimani city wakanielekeza niende mtaa wa maktaba ndo kuna mafundi wao.ila sikwenda nasubiri iwe rightoff ninunue kitu kipya lakini si sumsung tena kilichonikera zaidi ukiwa unanunua wanakujari sana ila ukirudisha hawakujari poor customer care.nawashauri tujaribu cm za aina ingine aisee silazima sumsung
 
Mi mwenyewe nnawakimbia muda si mrefu ngoja tu mambo yangu yake vizuri!! Simu zao zinahang sana afu na bug kama hizo!! Cha ajabu hata kwenye forum yao inayohusu services hamna majibu ya maana licha ya watu wengi kukumbwa na tatizo kama hili la kwangu!! Ambalo nadhani ni bug..
No wonder mauzo yameshuka sana mwaka huu kwa simu zao!! Watu wameanza kukimbia!!
 
jaribu kutoa memory halaf iwashe ikiwa poa bac ifomat memo kabla ya kuirudishia ikiwa bado badirisha betri
 
Asante mdau ila situmii SD card!! Nimeformat juzi bado issue iko palepale, nafanyia kazi huo ushauri wa kubadili battery
 
Back
Top Bottom