Msaada: Galaxy inazimika bila sababu

Msaada: Galaxy inazimika bila sababu

Habari wadau?!
Ninatumia Samsung galaxy s duos s7562 ambayo inamwaka mmoja na miezi kadhaa sasa.. Imekuwa na tatizo la kustack/kufreeze/kuhang nimeivumilia kwa vile RAM yake siyo kubwa (around 700 MB). Lakini hivi majuzi imeanza tatizo serious la kuzima automatically na nikiiwasha charge inaonesha iko 1%-5% hata kama ndo nimeitoa kwenye charge!! Nikiirestart inapanda hadi 60%-70%.. Na mara nyingi ikishazima haiwaki kwa kupress power button hadi nitoe battery na kuirudisha ndo inakubali!!
Sina hakika kama ni hardware issue au ni software kabla sijawapelekea mafundi wa kitaa naomba msaada kwa mwenye experience na tatizo kama hili alifanyeje kulisolve.
Asante...

daah mi mwenyewe nna s2 inatatizo kama lako...inakera kwakweli
 
Nachoweza kuchangia Mimi ni labda ufanye kui-restore afu uone kma itaendlea kuwa automatic tena!! Automatic ni dalili za kifo!
 
Back
Top Bottom