Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Wakuu wa Nchi naombeni kama Kuna mtu anayejua Dawa ya kumeza au sindano au ya kupaka please anisaidie ,maana hichi kidole cha upande wa kulia cha mwisho kina Fangs mpaka kinasababisha tezi karibia na korodani kuuma ndio wanaita utoke ,have a great day.