lane
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 908
- 513
Salaam kwenu
Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema
Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......).
Kwa kuanzia nimenunua baadhi ya vifaa kama vile: tractor, drum mower, round hay baler, hay rake, chaff cutter (PTO driven), na silage baler.
Nimejipanga kwa msimu huu 2025/2026 kwamba nitakata majani ya asili kwa ajili ya kutengeza hay na silage, na pia mahindi kidogo kwa ajili ya silage.
Siku sijazo nitapanda majani ya malisho kama vile juncao grass, super napier grass n.k
Sasa naja kwenu nikiomba yafuatayo:
1. fundi ama mtu mwenye uzoefu wa kufunga na kutumia mashine hizi
2. Ushauri wowote ambao waweza kunifaa
Karibuni sana. Waweza kunifikia kwa namba 0655999884.
ASANTENI