Msaada: Fundi wa mashine ya kufua nguo

Msaada: Fundi wa mashine ya kufua nguo

mkandaboy

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
257
Reaction score
89
Amani iwe kwenu wana JF popote mlipo.
Naandika kuomba msaada wenu wa kuunganishwa na fundi mzuri/mjuzi wa mashine ya kufua. Yeyote mwenye kufahamiana na fundi, tafadhali sana naomba mawasiliano.
Natanguliza shukurani zangu kwenu!
 
Amani ya bwana iwe nawe pia,mm nafahamiana na fundi wa mashine za kufulia je uko siriazi na uko wapi? mm na a town.
 
Ina shida gani nikuelekeze unaweza tatua mwenyewe ila usiache leta sadaka
 
Back
Top Bottom