Msaada: Fundi wa kufunga mfumo wa TV cable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Fundi wa kufunga mfumo wa TV cable

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, Feb 20, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wanajf wenzangu mambo vp?.Naombeni msaada kwa anayefahamu ni vifaa gani vinavyotakiwa ili niweze kufanya biashara ya kusambaza cable. Hitaji langu ni kuwa na chaneli zisizopungua 20 na umbali nitakaosambaza ni km 2.Tafadhali kwa aliye na uzoefu wa maswala hayo aniorodheshee vifaa hivyo.
   
 2. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu unapatikana wapi? nikusaidie
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Satlite Dish ,receiver 20 ,line amplifier rf mixer,cable urefu 2km .je ni cheneli zipi unataka kuzionyesha?zitaje ili kujua idadi ya madishi na aina ya receiver za kutumia.
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Napatikana Ngorongoro mkuu.
   
 5. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mkuu waya unaotakiwa kwa ajili ya main load ni wa ukubwa gani?
   
 6. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  mkuu nitaku pm
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Boss tuelimishe wote ili na sisi tujaribu si unajua jf ni kisima cha mashule
   
 8. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Poa ila sipo kwenye network natumai mchana nitakuwa kwenye net
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu search humu humu kuna uzi ulishawahi kuzungumzia iko kitu nikiukumbuka ntauweka..
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2014
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu uzi uliupata!?
   
Loading...