Msaada: Fundi laptop Morogoro

Msaada: Fundi laptop Morogoro

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Wadau naombeni msaada wenu hasa kwa wale wakazi wa Morogoro,natafuta fundi wa laptop kwa maeneo haya ya Morogoro mjini!
 
mkuu mtafute mtu anaitwa gift yupo round about ya sua 0718132203
 
tanzania hakuna fundi wa laptop,kuna warekebisha laptop,hebu muulize kama anadiagnosis tools,
 
Back
Top Bottom