Wissman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,034
- 1,319
Mkuu sikulaumu,hujatembea duniani ukaona,ujasiriamali unaoujua wewe ni wa kufuga kuku,kutengeneza sabuni,tie and die n.k ndio mana unahara bila ustaarabu.
Unamawazo madogo sana thats y hutaelewa. Aliyekuambia utasoma ufugaji wa kuku kama ujasiriamali nani? Unajua kwanza maana ya ujasiriamali? Soma prospectus za vyuo ndio ujue nini kinafundishwa. Ukiwa na knowledge kidogo tuu ya ujasiriamali itakusaidia