Msaada: Friji langu la sumsung halipoozi tena

kalikumutima

Senior Member
Oct 9, 2014
145
45
Wana jamvi habari za jioni.Naomba msaada Friji langu nilinunua 2008 limeanza kuzingua halipozi na muungurumo wake umebadilika ni silence. Mwenye utaalam naomba msaada maana nimeleta mafundi wawili kila mmoja na maelezo yake na hawajanipa msaada
 
Back
Top Bottom