Kabla sijakurupuka kuita fundi naomba msaada wa mawazo yenu fridge langu lina milango 2 mlango wa juu {freezer} ligandisha vizuri tu, lakini Mlango wa chini ambao huwa linatoa ubaridi tu sasa hivi halitoi ubaridi kabsa ila kwa mlango wa juu linaendelea kugandisha ni nini tatizo hapa na ufumbuzi na nini ufumbuzi wake?
Naomba kuwasilisha