Mkuu nina umri wa 18+ na nina akili timamuAisee acheni kuvionea virusi hvo.Kila kitu virusi.Simu ikizima ikawaka virusi.Display ikizima virus.Game likigoma kucheza virusi.umefanya forensic analysis ipi mpaka ukajua ni virus.Au ndo hvo tu illiteracy yako ikakufanya u conclude ni virus.Maybe file system ya flash imezingua? Driver za window zina historia nzuri tu ya kuzingua filesystem za flash.
Kwanini usijaribu kutafuta deep recovery tools mtandaoni u recover hzo data baadala ya kuwalaumu virus.
Sasa wewe Kashaija maelezo yako hayajitoshelezi. Ukishadownload , next step?Ingia google download DATA RECOVERY itarudsha kila kitu
Hiyo software yenyewe inajitosheleza.Itakuelekeza chakufanya ukishainstallSasa wewe Kashaija maelezo yako hayajitoshelezi. Ukishadownload , next step?
Umri mkubwa Cyo Tija bro computing Cyo hekima za yesu.Mi nataka nielewe ulijuaje Kuwa ni virus ili nijifunzee.Maana ni kitu amazing hcho just imagine hyo routine ya kutafuta file label na just execute bash script ya kufuta.Pure eleganceMkuu nina umri wa 18+ na nina akili timamu
Kuna antivirus ninayo hapa inarudisha kila kitu sasa sijui nitakusaidiaje.Flash yangu imeshambuliwa na virus na nimepoteza kila kitu ikiwemo picha za harusi na misiba ya familia...Nifanyaje nizirudishe?
mkuu kama hujaiformat unaeza zipata na kama hata umeiformat pia usiweke chochote unaeza zipata tumia easus data recovery mkuu utapata kila kituc chakoFlash yangu imeshambuliwa na virus na nimepoteza kila kitu ikiwemo picha za harusi na misiba ya familia...Nifanyaje nizirudishe?