Msaada flash haitaki kusoma

Msaada flash haitaki kusoma

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,491
Wadau nina flash aina ya AGFA photo 4GB ilikua inasoma vzr kwenye PC yangu ghafla haisomi tena ila nikiichomeka inaniambia 'ur device iz ready for use' lakini haionekani kwenye my computer! Msaada wadau flash yangu inaniuma!
 
Na mm ninazo mbili zote zina-behave hivyo hivyo
 
Acheni mambo ya umaskini nenda kanunue nyingine mmezidi kukimbilia vitu vya kichina

Kuna article ilitolewa na NASA eti finder yao imeona kitu kama dhahabu huko sayari ya Mars. Jamaa mmoja aka comment kwenye article hiyo akisema, " Nisingependa kukuta madini hiyo imeandikwa: Made in China'. Ukweli watu wengi wamechoka huko ulaya na hizi brand 'made in china'. Bahati mbaya sasa kila bidhaa huko amerika na ulaya zina maandishi hayo "Made in China".
 
nunua nyingine labda km inakuuma sana jaribu kuchomelea na soldering wire
 
ingia kwenye terminal ya command(cmd) andika neno disk part then list volume utaiona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom