Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,028 Reaction score 51,265 Feb 20, 2017 #21 WAHEED SUDAY said: Unaweza mkuu tena ikiwa kwenye hali hiyo hiyo cha muhimu ni utulivu Click to expand... Nasikia kuna software inatumika kurecover data kwenye hdd iliyoformatiwa hata zaidi ya 5 times, ni aina gani ya software ungenishauri kuitumia
WAHEED SUDAY said: Unaweza mkuu tena ikiwa kwenye hali hiyo hiyo cha muhimu ni utulivu Click to expand... Nasikia kuna software inatumika kurecover data kwenye hdd iliyoformatiwa hata zaidi ya 5 times, ni aina gani ya software ungenishauri kuitumia
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Feb 20, 2017 #22 marxlups said: Nasikia kuna software inatumika kurecover data kwenye hdd iliyoformatiwa hata zaidi ya 5 times, ni aina gani ya software ungenishauri kuitumia Click to expand... Mi huwa natumia EaseUS Data Recovery na haijawahi kuniangusha cha muhimu isiwe ile ya free
marxlups said: Nasikia kuna software inatumika kurecover data kwenye hdd iliyoformatiwa hata zaidi ya 5 times, ni aina gani ya software ungenishauri kuitumia Click to expand... Mi huwa natumia EaseUS Data Recovery na haijawahi kuniangusha cha muhimu isiwe ile ya free
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,138 Reaction score 42,872 Feb 20, 2017 #23 WAHEED SUDAY said: Hapana mkuu, kama ipo kwenye format ya RAW anaweza kurecover data zake na kuformat katika file system nyingine, cha muhimu inategemea na uwezo wake kwenye suala la IT tu, mi nimekuwa nikiletewa hdd nyingi za namna hiyo na zinapona Click to expand... Mkuu na flash inayolazimisha uiformat je?
WAHEED SUDAY said: Hapana mkuu, kama ipo kwenye format ya RAW anaweza kurecover data zake na kuformat katika file system nyingine, cha muhimu inategemea na uwezo wake kwenye suala la IT tu, mi nimekuwa nikiletewa hdd nyingi za namna hiyo na zinapona Click to expand... Mkuu na flash inayolazimisha uiformat je?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Feb 20, 2017 #24 Aleyn said: Mkuu na flash inayolazimisha uiformat je? Click to expand... The same way unless ina physical damage ndo itashindikana
Aleyn said: Mkuu na flash inayolazimisha uiformat je? Click to expand... The same way unless ina physical damage ndo itashindikana
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,028 Reaction score 51,265 Feb 21, 2017 #25 WAHEED SUDAY said: Mi huwa natumia EaseUS Data Recovery na haijawahi kuniangusha cha muhimu isiwe ile ya free Click to expand... Nashukuru sana Mkuu nitarejea kwako nikikwama
WAHEED SUDAY said: Mi huwa natumia EaseUS Data Recovery na haijawahi kuniangusha cha muhimu isiwe ile ya free Click to expand... Nashukuru sana Mkuu nitarejea kwako nikikwama