Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 118
Kama ni RAW hiyo ni ya kutupa huwezi kui recoverAnagalia kwanza kuptia disk management ipo katika format gan??? NTFS au RAW
Possibly ilichomolewa bila kufuata utaratibu hivyo hata ukiformat haitakubaliHabari ya saa hizi wana JF. Samahani naombeni msaada, Eternal Hard Disk yangu (Transcend 500 GB) Inaandika Format kila nikiichomeka kwenye PC. ndani ina data zangu nyingi sana muhimu. Nimejaribu kuiweka kwenye computer mbalimbali bado kila nikiiweka kabla ya kufunguka inaleta msg kuwa natakiwa niiformat. juzi nimejaribu kutaka kuiformat lakini pia ikagoma kuformat ikaandika msg 'window is unable to format'. Naombeni msaada nifanyeje? Je ikiwezekana kuformat data zangu zinawezaje kupatikana tena? Asante
Hapana sio virusina virusi wengi sn itakua..
Hdd huwa haifi wadau so kama kuna data sensitive peleka kwa watala wwtaziondoa then utaitupa
Hapana mkuu, kama ipo kwenye format ya RAW anaweza kurecover data zake na kuformat katika file system nyingine, cha muhimu inategemea na uwezo wake kwenye suala la IT tu, mi nimekuwa nikiletewa hdd nyingi za namna hiyo na zinaponaKama ni RAW hiyo ni ya kutupa huwezi kui recover
Unaweza mkuu tena ikiwa kwenye hali hiyo hiyo cha muhimu ni utulivuJe nawezaje kurecover data before that
Flash disk ikiwa na format ya RAW unafanyaje kui recover?Hapana mkuu, kama ipo kwenye format ya RAW anaweza kurecover data zake na kuformat katika file system nyingine, cha muhimu inategemea na uwezo wake kwenye suala la IT tu, mi nimekuwa nikiletewa hdd nyingi za namna hiyo na zinapona
Kuna njia kibao, kama unataka command line au software inategemeana na skills za anayefanya kazi hiyo ya kuformat haswa kwenye masuala ya IT, May be we unataka njia ipi nikupe namna ya kufanya!?Flash disk ikiwa na format ya RAW unafanyaje kui recover?
Sotware naona ndo itakuwa rahisi zaidi. Nipe link nidownload hiyo softwareKuna njia kibao, kama unataka command line au software inategemeana na skills za anayefanya kazi hiyo ya kuformat haswa kwenye masuala ya IT, May be we unataka njia ipi nikupe namna ya kufanya!?
Best software ya kurecover data ambayo huwa natumia na nikubali ni EaseUS Data Recovery, Hii ni ya kununua ila kama huwezi kununua unaweza kutafuta cracked kwenye torrents website.Sotware naona ndo itakuwa rahisi zaidi. Nipe link nidownload hiyo software