Msaada External 1Tb

Msaada External 1Tb

msaki jr

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Habary zenu wadau nina external aina ya Transcend 1TB, siwez kuangalia muvy wala kuhamisha, nime format mpka nimechoka kama kuna mtu anaweza nisaidia ...naomben msaada wenu wadau
 
Habary zenu wadau nina external aina ya Transcend 1TB, siwez kuangalia muvy wala kuhamisha, nime format mpka nimechoka kama kuna mtu anaweza nisaidia ...naomben msaada wenu wadau

Ukiweka ma file ya aina nyingine unaweza kuyafungua mf. mziki wa mp3 , excel nk?
 
Kuna baadhi ya mp4 yana play na mengine haya play hata mp3 ila ms word excel hayo yanaingia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom