numis Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 176 Reaction score 188 Apr 12, 2018 #1 Habari zenu wanajamvi naomba mnisaidie kutatua hili tatizo nifanyeje kuliondoa inajitokeza sana maandishi ya error message mpaka inanikera tafadhali naomba msaada wenu kwa mnaoelewa zaidi
Habari zenu wanajamvi naomba mnisaidie kutatua hili tatizo nifanyeje kuliondoa inajitokeza sana maandishi ya error message mpaka inanikera tafadhali naomba msaada wenu kwa mnaoelewa zaidi
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Apr 12, 2018 #2 Install online pack solution au nenda Device manager then check kwenye Driver ufanye update
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,204 Reaction score 17,687 Apr 12, 2018 #3 Mbona wamekuambia hapo au lugha haipandi?
numis Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 176 Reaction score 188 Apr 12, 2018 Thread starter #4 omarion5 said: Mbona wamekuambia hapo au lugha haipandi? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu yani mlango umefungwa vizur ila nashangaa bado inagoma
omarion5 said: Mbona wamekuambia hapo au lugha haipandi? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu yani mlango umefungwa vizur ila nashangaa bado inagoma
numis Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 176 Reaction score 188 Apr 12, 2018 Thread starter #5 Nafikiri Zaidi said: Install online pack solution au nenda Device manager then check kwenye Driver ufanye update Click to expand... Okey sawa mkuu ngoj nicheki
Nafikiri Zaidi said: Install online pack solution au nenda Device manager then check kwenye Driver ufanye update Click to expand... Okey sawa mkuu ngoj nicheki