Msaada elimu, tiba, ufafanuzi kukazaa kwa mishipa ya mikono na miguu

Black Coffee

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,929
3,171
Hi jf doctors na wataalamu wote wa afya!

Nimekuwa na hali iliyoshamiri mwilini mwangu sielewi mishipa ile ya kijani inakaza haiyumi lakini nakereka naskia siko kawaida kabisa sambamba naya miguu mpaka nyayo
Naomba mwenye ujuzi ashauri lolote nijue kwa kina like chanzo, tiba, kuzuia.

Samahani kwa uandishi sijui Nimeeleweka na kama sio nitajaribu kujieleza ukiniuliza zaidi kwa comments
59da17ad07c83e10eb9d733dea475d9e.jpg
 
Unaposema mishipa ya kijani nadhani unamaanisha ile mishipa isio na maji kwa wingi( isio na plasma) na pia ni mishipa ambayo bado damu yake haijapatiwa oksijen Sasa kwa kua umesema hiyo ndio inayo kaza Ninachoshauri nenda Hosp kapime Pressure yako kwanza.kwani hilo linaweza kua ni tatizo lililoko kwenye moyo na hasa kuchelewa damu kutoka katika chemba ya kushoto inayosambaza damu kwenye viungo vyote mwilini hivyo kupelea damu kujaa katika chemba ya kulia hivyo kusababisha shinikizo katika mishipa ambayo damu yake bado haijapatiwa oksijen lakini pia hali hiyo huambatana na dalili kama maumivu kifuani na kuhisi uzito kifuani ila nenda kapime kwanza tukijua kiwango cha BP yako na kama na dalili kama hizo utakuanazo basi tutajua cha kukushauri na kuna maswali utatakiwa kuyajibu utaporudi humu
 
Hi jf doctors na wataalamu wote wa afya
Nimekuwa na hali iliyoshamiri mwilini mwangu sielewi mishipa ile ya kijani inakaza haiyumi lakini nakereka naskia siko kawaida kabisa sambamba naya miguu mpaka nyayo
Naomba mwenye ujuzi ashauri lolote nijue kwa kina like chanzo, tiba, kuzuia
Samahani kwa uandishi sijui Nimeeleweka na kama sio nitajaribu kujieleza ukiniuliza zaidi kwa comments
Nitafute mimi Kwa Wakati wako nipate kukutibia upate kupona Maradhi yako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Unaposema mishipa ya kijani nadhani unamaanisha ile mishipa isio na maji kwa wingi( isio na plasma) na pia ni mishipa ambayo bado damu yake haijapatiwa oksijen Sasa kwa kua umesema hiyo ndio inayo kaza Ninachoshauri nenda Hosp kapime Pressure yako kwanza.kwani hilo linaweza kua ni tatizo lililoko kwenye moyo na hasa kuchelewa damu kutoka katika chemba ya kushoto inayosambaza damu kwenye viungo vyote mwilini hivyo kupelea damu kujaa katika chemba ya kulia hivyo kusababisha shinikizo katika mishipa ambayo damu yake bado haijapatiwa oksijen lakini pia hali hiyo huambatana na dalili kama maumivu kifuani na kuhisi uzito kifuani ila nenda kapime kwanza tukijua kiwango cha BP yako na kama na dalili kama hizo utakuanazo basi tutajua cha kukushauri na kuna maswali utatakiwa kuyajibu utaporudi humu
Nashukuru mkuu
 
Hakuna uzito kifuani wala maumivu yeyote labda kuna muda maskio yanakuwa Kama yanaziba hivii kwa muda,, ngoja nikacheki pressure tuu kwanza
 
Nashukuru kuelewa kwani hata hiyo dalili ya masikio bado iko kwenye shida hiyo hiyo niliokueleza nenda kapimetu kisha urudi humu jf
 
Nashukuru mkuu Kesho asubuhi before anything Nakwenda kupima kabisa japo sijawahi kufikiria mambo ya pressure kwa Umri huu,, nitarudi hapa
 
Kumekua na Tabia ya madoctor wengi unapokwenda kupima Pressure anakwambia tu pressure yako iko sawa ama iko chini ama iko juu.Hiyo sio taarifa nzuri utapoenda kupima mwambie akuandikie zote zilizoonekana katika Mita yake yaani Bp ya juu na Bp ya chini (Systolic/Diastolic)ili tuweze kua shida iko wapi katika misukumo zako za damu
 
Je ukpma presha ukaandkiwa 104/61 ni iko sawa au kuna tatzo
Neema j swai. Ni kwamba viwango vya shinikizo la damu vinatofautiana sana kutoka Mtu mmoja hadi mtu mwingine na hutegemea sana na Mtu mwenyewe na hii husababishwa na (1)mwili wa Mtu(2)uzito wa mtu(3)maradhi Kuna mtu ambae shinikizo la damu likiwa kati ya 104/61 hua ni sawa Lakini kuna mtu ambae shinikizo lake likiwa hivyo huwa ni tatizo kwake.kwa hiyo Dadaangu kutokana na swali lako hapo hicho kiwango kwa utaratibu wa kawaida sio kibaya kwani vipimo vya 100-140 milimita za zebaki (mmHg) ni kawaida huo ni kwa upande wa Sistolic. Viwango vya 60-90 mmHg ni kawaida huo ni kwa upande wa Diastolic. Upimaji wa Pressure hutolewa hukumu kua una tatizo pale viwango vya juu au vya chini vinapojirudia zaidi ya Mara tatu hivi angalau ili kujiridhisha. Na ni vema upime hospitalini ili ukutane na wataalam waliobobea na ikimtatanisha lazima atakueleza urudi tena kupima Mara ya pili au hata tatu
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom