Mkuu Mwenyekiti wa JEC Pole na rapsha rapsha za uchaguzi. Nadhani kupata jibu specific bila mtaalam kufanya analysis kwanza yakuelewa Nature of business za hiyo office na Process zake kuelewa Real Reuiquirement ni Makosa.
Japo sina experince lakini nadhani Kuna doc/record management inaweza kufaa kazi za wanaesheria na nyingine ikafaa zaidi kazi za Biashara na ningine ikafaa kwenye Industrial .
Size ya buiness na Transaction ngapi kwa siku au mwezi pia inaweza kuwa factor ni solutin gani inafaa na aina ukubwa au uwezo wa vifaa kama scanner, hand written recognition software/app kubadiisha doc za karatais uwa PDF.
Otherwise jaribu kuuliza kampuni iiyokuwa inasuppport ICTR (Mahakama ya rwanda-Arusha) Nadhani walikuwa n some record managemnt system. Nimesahau jina la hiyo system....
Sometime option ya kwenda moja kwa moja kwenye makampuni watu wa masoko watakushiwishi kukuuzia kitu hata kama hakifai sana kwa mahitaji yako. So huyu mzee nabidi kw a mradi huo japo ajiiri COmputer nanasyst hata wa muda .Huyo Analyst ambaye ndiye atamsaidia kuelewa hizo software sababu atakuwa kaelewa zaidi business process za Ofisi huyo mkuu
Zaidi ya hapo inabidu ijuikane ni section gani? . Vipi mambo ya fedha na finance na muzo ??? kuna sytem ipo anatumia kama Tally au ACCPAC. Kama kuna system nyingine inbidi zijulikane ili akipata hiyo ya record isifanye redunndacy task . May be zadi ya Record management system atahitaji kuwa na database kama za sales au purchase inventory. Akiwa na hizo tayari ankuwa anaeleea kuachive paperes office
Mwisho wa siku Yeyye Cient anaweza kusema anataka record management system kumbe real requirement yake ni Inventory managemet au Sale management.
Mkuu wangu Mtazamaji
Back to the topic: Nimefikiria pia kumshauri apate mtaalamu lakini pia ni vema walau kupata basic information za kusaidia kumpa ToR huyo mtaalamu.
..... Ofisi ya huyu Mkulu inahusika na Investors na Wawekezaji na kuwasaidia pia wale wanaotaka kuuza au kununua stocks. It is very complex kuielezea. Ila wana mafaili lukuki na jamaa anapenda kwenda kisasa...........
...... Ningwezea kujua hiyo kampuni wanaowasaidia ICTR ingekuwa na upako sana kunirahisishia kazi.
Yes penye wengi hapaharibiki jambo............ Ndo maana nikaja kwa Wanataaluma nianzie hapa walau.
Kuhusu hizo A/C Software, zina uhusiano gani na system ninayoulizia ya kuhifadhi nyaraka?
Shukrani kwa maelezo yote murwa.
Basic information ni huyu mtaalam ndo atakuja nazo. TOR atayaopewa itam-guide afanye nini kwa muda gani na elete report gani. eg
- two - three weeks- Kuelewa buiness process na type of record za kiofisi zinazohifadhiwa.. Ziinavyouwa handled na Knowledge ya staff wanaofanya hizo task.
- One week kutazama security side/Perorformce . Kuna impact gani security ya doc zikiwa compromised. Maana threat ya security kwenye hard copy sio kubwa kama kwenye paperless office ( refer to Wikileaks cables). Or Contigency plan kama key equipment ikiharibika. Shughuli zinasimama au manul paper workirudi
- Two-Three weeks- Muda wa kuandika proffesionnal propasal na evaution ya atleats two or theree soution ( Hardware./Software / Shortisted companies na approximated cost ) anazopendekeza na kuziwasilisha kwa mzee
- Baada ya Decision ya mzee akichagua na kuamua then Mtaalam atafanya kazi na selected company kuhakikish kile alichoshauri na kupendekza kipo sawa
- etc etc
- etc
Hapa ni kweli naona hii ni complex system ku automate au ku computerise. But inawezekana. Ia akitokea mtu akatoa solution kwa siku moja bila kuelewa au kuona business process za hii ofisi zinavyofanyika anweza kufanya makosa. Unless ana uaozef na detailed a nature ya hii business....
Hi kampuni nimesahau jina na sofware solution waiyokuwa wantumia nimesahu pia . Kama una watu unawajua arusha ulizia wanaweza kukupa clue
Yes penye wengi hapaharibiki jambo.......
Hiii unaweza kuipotezea sababu mwamzoni nilidhani nature ya buiness inaendana na mambo ya Daily business tulizozoea kama mambo vocha, Balance sheet, Petty cash, Sales . etc.....Kumbe ni mambo ya stocks........ Lakini kama kweli main objecctive ana taka kuachive Paperless office then he should look beyond record management......
Tusubiri wataalam wenye uzoefu zaidi othewise basi Tutasaidiana kuandika hiyo TOR ya kumpata mtaalam ili tupate pesa ya viatu vipya vya pasaka lol hahha joke .
Superman, Please angalia hii thread, Kulwa alikuwa anafuatilia a similar issue/project na pengine anaweza kukusaidia
https://www.jamiiforums.com/busines...i-wa-soko-lake-hapa-tanzania.html#post3208711
Software nyingine unaweza kuangalia ni Business Process Automation Software - Automate IT - Network Automation
Kama Mtazamaji alivyotangulia kusema, the process ndio muhimu kwanza kuifahamu na kuichambua kabla kuanza kuangalia solution yenyewe.
Superman, Please angalia hii thread, Kulwa alikuwa anafuatilia a similar issue/project na pengine anaweza kukusaidia
https://www.jamiiforums.com/busines...i-wa-soko-lake-hapa-tanzania.html#post3208711
Software nyingine unaweza kuangalia ni Business Process Automation Software - Automate IT - Network Automation
Kama Mtazamaji alivyotangulia kusema, the process ndio muhimu kwanza kuifahamu na kuichambua kabla kuanza kuangalia solution yenyewe.
Mkuu hilo tatizo lako tuna uwezo wa kulisolve kabisa kama bado hujapata solution,
By the way am working at Webtechnologies tz Ltd., you can visit our website and view our portfolio, this is our website
.: Web Technologies Tanzania Ltd, Best and Cheapest Web Designing and Hosting Services in East Africa., my personal email is alex@webtechnologies.co.tz
unaweza kunicontact if you realy need the solution.
Looking forward to hear a lot from you!