Nimecheki hii post na nika-confirm tatizo ambalo watanzania wengi tunalo....Watu hawasomi, ni wavivu mno. Too bad for our country.
- Mtu kasema anatafuta jeans 'jitu' linakurupuka na kusema aweke bei eti good news
- Mtu kasema anataka Kariakoo, 'jitu' linakurupuka linamwelekeza posta.
Watanzania tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa tunachokisoma. Si generalize, ila ni tatizo. Watu hupenda kusoma magaazeti ya udaku coz maumbea ndo yamejaa huko.
Naomba mnisamehe wale ambao nitakua nimewakwaza.
Back to the topic, mkuu mimi sijui duka lolote Kariakoo ambalo unaweza pata jeans nzuri. Naamini wapo wadau watakao kusaidia
Asanteni