Msaada: Drivers za Internet

Msaada: Drivers za Internet

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Wataalam habari zenu!?

Mwenye driver za internet nazihitaji PC yangu ni HP imekosa driver za kuunganisha internet through modem and Wireless
Msaada tafadhali.
 
mnhh hakuna driver za internet mkuu, kuna driver za kifaa cha kuunganishia na internet.

kama ni modem ya huawei basi itakuja na driver zake, chomeka hio modem kisha install ile software yake, automatic driver nazo zitaingia.

za wifi nenda site ya laptop yako utazikuta, au eka windows update na kuiuodate windows yako zitakuja.
 
Tumia driver finder wewe, kuinstall driver zinazomis kwenye komputer yako, ila hicho ulichokiongea ni kigeni mzee
 
Aisee kama haiacesss mtandao tafuta driver pack solution ita update kila kitu apo
 
Back
Top Bottom