Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,819
- 2,942
Yap. Uko sahihiTafuta program inaitwa RECUVA mkuu inaweza kuwa msaada kwako
Nazipenda sana mkuu kuna picha, documents na nyimbo mbali mbaliKama unazipenda data zako lakini...
1. Zima computer na hakikisha hiyo disk haujaribu kuifanyia chochote
2. Kama ame format na hajaweka data mpya data zako ziko salama
3. Tafuta mtaalam anayeaminika wa kurudisha taarifa zako
Narudia kama unazipenda data zako lakini...
Basi hakikisha unafuata huo utaratibu. Kila reckless attempt kwenye hiyo disk inapunguza uwezekano wa kuzipata hizo data. One mistake inaweza kupoteza data zote.Nazipenda sana mkuu kuna picha, documents na nyimbo mbali mbali
Asante sanaKama unazipenda data zako lakini...
1. Zima computer na hakikisha hiyo disk haujaribu kuifanyia chochote
2. Kama ame format na hajaweka data mpya data zako ziko salama
3. Tafuta mtaalam anayeaminika wa kurudisha taarifa zako
Narudia kama unazipenda data zako lakini...
Mkuu ulifanikiwa?Asante sana
Habari,Pesa ipo tupige kazi nitafanya popote ulipo ukiwa unaona ila nilipe changu kabisa ndo nifanye kazi
Huo wekundu ndio Disk baada ya kufanya recovery imejaa vile vitu ila kufungua havitakiJamani nimeishia hapa sioni kwa kuelekea nimetumia app inaitwa Herman recovery. Nikafanikiwa na kuona folder ninazotakiwa kuzirudisha nilimaliza nikaona local disk D imejaa space kufungua naona kuna ka faili ndani kameandikwa hivo kwenye picha naomba msaada wenu. Natanguliza shukrani. Atakayeweza anisaidie kwa namba 0756364854 hii namba itakuwa hewani hadi 3 May pekee. View attachment 2204267View attachment 2204268View attachment 2204269