leop
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 550
- 522
Habari za muda huu wakuu, naomba mnisaidie.
Mimi ni mama mjamzito kwa umri wa 22 weeks. Sasa, ndani ya siku tatu hizi mtoto wangu anacheza kidogo sana na kwa mapozi. Yaani mpaka kiamue chenyewe.
Nisaidieni, hii inaweza kuwa ni tatizo au ni kawaida? Sina uzoefu sana sababu ni mimba ya kwanza.
Natanguliza shukrani