John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Wazee nahitaji msaada ,kuan ndugu yangu anataka nimtumie documents zake ..kutoka hapa TZ kwenda moscow.ila mimi nipo mkoani nataka msaada wenu kuhusu gharama.documents zenyewe haizizidi kilo moja ni certificate tatu
mimi niko mbeya sasa hivi..nimempa mtu hivyo vyetu anakuja navyo dsm..ila hapa nilikuwa nataka kujua gharama kwanza ili niweze kumpa huyo dogo mshikokama mie niko mwz,kwa document yako inaonekana haizidi 1/4 kilo,hivyo kwa kutoka the rock city inakua 94,232/=.kwa hiyo andaa kamakilo hivi itatosha.Sijui uko mkoa gani.
kaka sasnte..unasema kutoka mwanza kwenda wapi?...nataka kujua bei ya kutoka dsm kwenda huko moscow -urusi.kama mie niko mwz,kwa document yako inaonekana haizidi 1/4 kilo,hivyo kwa kutoka the rock city inakua 94,232/=.kwa hiyo andaa kamakilo hivi itatosha.Sijui uko mkoa gani.
TNT? ok ngoja ni wacheki..lakini hawa jamaa wapo fresh kwenye kutuma vyetikwa DHL itazidi laki hebu wacheck TNT wapo karibu na Billicanas pale haizidi 80
TNT? ok ngoja ni wacheki..lakini hawa jamaa wapo fresh kwenye kutuma vyeti
ok. asante sana kaka..kwa hiyo lazima itakuwa inachezea hapo hapo. ubarikiwe sanaNetwork ilinizingua kidogo.Nilikupa Rate ya Mwz-Moscow