toplemon JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 4,607 Reaction score 4,768 Dec 19, 2020 Thread starter #41 [emoji1787] Ntrqios said: Sukariii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Click to expand...
[emoji1787] Ntrqios said: Sukariii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Click to expand...
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,965 Jan 2, 2021 #42 Ngoja na mimi nijaribu hiyo Akheri powder
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,639 Reaction score 6,440 May 4, 2021 #43 digba sowey said: Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi. Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri Click to expand... Inauzwa shilingi ngapi mkuu na inapatikana kwenye maduka yapi?
digba sowey said: Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi. Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri Click to expand... Inauzwa shilingi ngapi mkuu na inapatikana kwenye maduka yapi?
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,347 Reaction score 62,353 Jul 9, 2022 #44 Rumaiya said: Johnson powder Click to expand... Unaifanyaje unamwamga nyumba yote au?
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,347 Reaction score 62,353 Jul 9, 2022 #45 Oy sisimizi wamenivamia na mm nataka niwateketeze kikatili sana ikishindikana nachoma nyumba kwanza ni nyumba ya kupanga sina hasara ila ngoja nikatafute akheri powder kwanza
Oy sisimizi wamenivamia na mm nataka niwateketeze kikatili sana ikishindikana nachoma nyumba kwanza ni nyumba ya kupanga sina hasara ila ngoja nikatafute akheri powder kwanza