Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi.
Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri
Haizidi elfu 3 hiiMkuu ni bei gan maana hawa wanatoka kwenye nyufa za sakafu
weka mchwa watawala hao sisimizi.Sisimiz wamekua kero jamani
Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu
Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi
Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
Inappatikana maduka gani?Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi.
Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri
Kwenye maduka ya viuatilifu,lakini pia mimi hapa nilipo huwa nanunua kwa maduka ya kawaida tu mkuu,haya maduka ya takatakaInappatikana maduka gani?
kua nao makini lakini ni dawanzuri sanaHivi akheri powder ni sumu? Sisi wenye watoto wanaozunguka nyumba nzima sio mbaya kwao?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Bei yake ni sh haizidi elfu 5000/ mkuuMkuu ni bei gan maana hawa wanatoka kwenye nyufa za sakafu
hongera kwa hio dawa harufu yake mdudu hasogei hapoUbarikiwe sanaaaaaaaaaaa
Update:Nimenunua akheri powder nikanyunyuzia ndani ya sekunde tu wamepotea na kuisha wote asanteni sana wanajamiiforum
Mungu ibariki jf