DDT inappatikana wapi rafiki kwa hapo Dar?Tumia DDT dawa ya kuulia wadudu noun you zia chumba chote
Hivi wewe kwenu wapi. Kwani ukishajenga huwezi kuhamia nyumba nyingine yenye ubora zaidi aidha uliyojenga ama ya kupanga au hata ya kampuni/$erekali???Kila mtu kapanga kwa mawazo yako si ndio?
Hivi akheri powder ni sumu? Sisi wenye watoto wanaozunguka nyumba nzima sio mbaya kwao?baby powder hasa johnson
akheri powder
thank me later
ziba hizo nyufa kwenye sakafuSisimiz wamekua kero jamani
Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu
Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi
Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
Tumia hii ni kiboko ya sisimiziSisimiz wamekua kero jamani
Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu
Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi
Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
Una uhakika wapo huku ndaniSisimiz wamekua kero jamani