98% ya wanadamu duniani wanaishi na mijusi majumbani bila tatizo lolote. Kazi yao kubwa ni kuua insects [emoji219][emoji1652] ndani. Hawa ni mijusi weupe, namna ya kuwaepuka hawa ni kutowafikiria kabisa na kuwachukulia kama wasaidizi ndani hutapata tabu. Kujaribu kupingana nao kuna madhara zaidi ya kuishi nao.