Msaada: Dawa ya michirizi

Hatukuambii dawa ng'oo hadi kwanza utupie picha ya hayo mapaja yenye michirizi hapa!
 
Aisee unataka kufuta michirizi ya utamu, watu wakiionaga hiyo hasa ile ya nyuma ya goti wanachanganyikiwa wewe wataka itoa
 
Mafuta ya nazi ama olive oil yanasaidia ukipaka kila siku. Unaweza kuyapasha moto kidogo na ku-massage asubuhi na jioni.
 
wewe ni mwanaume wa Dar? michirizi ukiweza kuitumia vizur bas mpenz wako atakuona wakipekee
 
Tafuta Aunt Zainab's Natural Super Clay, imo humu jf. Ni kiboko kwa matatizo yote ya ngozi.
 
Michirizi ni stimu kwangu na kwa wengine pia nadhani, huwezi amini nikiona mguu hata kama ni mzuri kiasi gani kuvutia kwake kama hauna michirizi ni kidogo sana. Kuna ile myembamba flani hivi nyuma ya goti na kushuka kidogo, yaani!!! We acha tu, utadhani utamu ndo uko pale. Usipoteze hela bure, badili mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom